Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere imeanza kutoa matibabu ya watoto wenye changamoto ya vichwa vikubwa na mgongo wazi baada ya kukamilika kwa mafunzo yaliyotolewa na... Read More
Habari
Maafisa Tehama kutoka Wizara ya Afya na Kampuni ya GPITG kwa kushirikiana na maafisa Tehama wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere siku ya leo 06/08/2024 wameendelea ... Read More
Watumishi wa afya mkoani Mara wameaswa kutoa huduma bora kwa weledi na kuzingatia maadili ili kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi wanao fika Hospitali hapo kupata huduma za kimatibabu. ... Read More
Hayo yamesemwa na Meneja Wakala wa Huduma za Misitu(TFS) Wilaya ya Musoma Bw. Hamisi B. Kiberege wakati akisoma taarifa ya mradi wa upandaji miti kwa kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kita... Read More
Katika kuendelea kutoa huduma bora za maabara kwa wananchi wa Mkoa wa Mara na maeneo jirani tarehe 26 Julai, 2024 idara ya Maabara ikishirikiana na menejiment ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa y... Read More
Mradi wa Shamba la Miti Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere utakapitiwa na Mwenge wa Uhuru tarehe 30/07/2024. Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024- "Tunza Mazingir... Read More
Jarida Maalum la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Karibu uungane nasi kuweza kufahamu ziara mbalimbali zilizofanywa na viongozi wa Serikali katika Hospitali ... Read More
Wizara ya afya ikishirikiana na shirika lisilo la kiserikali Pathfinder wanaosimamia mradi wa M-MAMA wametoa mafunzo ya kuwajengea uwezo waratibu wa elimu kwa umma ngazi ya mkoa na halmashau... Read More
Chama cha Wanawake (Dorikasi) kutoka Kanisa la Waadventista Wasabato kata ya Kamunyonge-Manispaa ya Musoma siku ya leo tarehe Juni 27, 2024 wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbuku... Read More
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Mara wakiwa katika mafunzo ya matumizi ya mfumo wa taarifa za utekelezaji wa majukum ya watumishi (PEPMIS) kwa nyakat... Read More