Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

MWENGE WA UHURU

Posted on: July 26th, 2024

Mradi wa Shamba la Miti Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere utakapitiwa na Mwenge wa Uhuru tarehe 30/07/2024.

Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024- "Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu"