Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

MATUKIO KATIKA PICHA

Posted on: March 7th, 2024

Ikiwa leo ni Machi 08, 2024 siku ya wanawake Duniani, Watumishi Wanawake wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Mara wameadhimisha siku ya wanawake Duniani kwa kutoa Faraja kwa wagonjwa waliolazwa na kutoa zawadi mbalimbali.