Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA MAJUKUM YA WATUMISHI (PEPMIS)

Posted on: May 16th, 2024

Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Mara wakiwa katika mafunzo ya matumizi ya mfumo wa taarifa za utekelezaji wa majukum ya watumishi (PEPMIS) kwa nyakati tofauti katika ukumbi wa Mikutano wa Hospitali kuanzia tarehe 13/05/2024.

Mafunzo haya yanaendeshwa na wakufunzi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Mara waliohudhuria mafunzo ya Mfumo wa PEPMIS katika Mkoa wa Morogoro yaliyoandaliwa na Wizara ya afya kuanzia tarehe 29/04/2024 hadi tarehe 03/05/2024.