Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

KARIBU TUSOME KWA PAMOJA JARIDA TOLEO A PILI

Posted on: April 4th, 2024

Sasa unaweza kusoma online au ku download jarida la Mwezi la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimju Nyerere-Mara ili kuangalia habari zilizojiri, matukio, huduma zinazotolewa na kuifahamu zaidi Taasisi yetu.

Bonyeza link hapa chini kupakua

https://drive.google.com/file/d/1mwpIMLYyhWBp5GOd9eTa-pLWuskHUGxQ/view?usp=drive_link