UTOAJI WA HUDUMA ZA KIBINGWA
Monday 30th, December 2024
@HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
UTOAJI WA HUDUMA YA MACHO KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA WA MACHO KUTOKA HOSPITALI YA KANDA BUGANDO-MWANZA KUANZIA JUMATATU YA TAREHE 20/11/2023 HADI IJUMAA YA TAREHE 24/11/2023