KLINIKI YA KINYWA NA MENO
Posted on: October 14th, 2024KLINIKI YA KINYWA NA MENO
|
MUDA KUANZIA 02:00 ASUBUHI HADI 09:30 ALASIRI
|
|
S/N |
HUDUMA ZITOLEWAZO
|
|
1
|
HUDUMA YA UCHUNGUZI WA KINYWA NA MENO
|
|
2
|
USHAURI WA AFYA YA KINYWA NA MENO
|
|
3
|
KUZIBA MENO
|
|
4
|
KUSAFISHA MIZIZI YA MENO
|
|
5
|
KUSAFISHA MENO( KUTOA UGAGA
|
|
6
|
HUDUMA YA MENO BANDIA
|
|
7
|
KUNG'OA MENO YALIYOHARIBIKA SANA
|
|
8
|
HUDUMA YA UPASUAJI MDOGO
|
|
SIKU ZA KLINIKI : Jumatatu hadi Ijumaa