Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

Huduma za Kibingwa

Posted on: May 25th, 2026
  • Huduma ya Upasuaji
  • Huduma ya kusafisha Figo
  • Huduma ya Mifupa
  • Huduma ya Magonjwa ya akina Mama na Uzazi
  • Huduma ya Magonjwa ya watoto
  • Huduma ya Magonjwa ya Kinywa na meno
  • Huduma ya Magonjwa ya Macho
  • Huduma ya Usingizi Tiba na Ganzi salama
  • Huduma ya Magonjwa ya Pua, Masiko, Koo na Shingo