MAFUNZO YA USIMAMIZI WA UBORA WA HUDUMA ZA MAABARA (QMS)
Posted on: May 20th, 2026Wataalam wa Maabara kutoka wizara ya afya Ndg. Cyril Mrosso na Ndg. Susu Jeremia Susu wameendelea wezesha mafunzo ya usimamizi wa ubora wa huduma za maabara kwa kuzingatia miongozo ya kimataifa ISO15180:2022.
Mafunzo hayo yaliyoanza tarehe 18-05-2026 natarajiwa kufanyika kwa siku tano na kukamilika tarehe 22-06-2026 ikiwa ni mchakato kuelekea katika kufanyiwa tathmini (Assessment) mpya ili kupata cheti cha ithibati kwa miaka mitano ijayo



