Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

Ustawi wa Jamii

Posted on: December 26th, 2024

Kutembelea wodini na kuona wagonjwa wenye mahitaji ya kijamii,Kutoa msamaha kwa wagonjwa wanaostahili,kusafirisha wagonjwa wasio na uwezo ili kuwaunganisha na familia zao,kuwasafirisha na kuwaunganisha na ustawi wa jamii wagonjwa waliopewa rufaa katika hospitali husika pamoja na kutoa ushauri na msaada wa kisaikolojia kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia.