Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

WIKI YA CHANJO YA SURUA-RUBELLA

Posted on: October 16th, 2019

Wizara Ya Afya Kushilikiana na Ofisi Ya Rais Tamisemi wanakuletea Chanjo ya Surua,Rebella na Pollio kuanza tarehe 17 hadi 21 oktoba 2019 Chanjo Hiyo Kutolewa kwa watoto wadogo kuanzia miezi 9 mpaka miaka 4 

Tazama