Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

TANZIA

Posted on: July 27th, 2021

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara anasikitika kutamgaza kifo cha aliekuwa Afisa Muunguzi Msaidizi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara kilichotokea leo tarehe 28/07/2021 katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mkoa wa Mara alipokuwa akipatiwa matibabu. Taratibu za Mazishi zinafanywa nyumbani kwake Rwamlimi - Musoma - Mara.