Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

JARIDA MAALUM

Posted on: July 10th, 2024

Jarida Maalum la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.

Karibu uungane nasi kuweza kufahamu ziara mbalimbali zilizofanywa na viongozi wa Serikali katika Hospitali yetu kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Pakua Jarida letu kupitia link iliyopo hapa Chini

https://drive.google.com/file/d/1F9R6DGKbaleOXtaztizSq2OXgtuYzw1H/view?usp=drivesdk