Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

HABARI PICHA

Posted on: August 6th, 2024

Maafisa Tehama kutoka Wizara ya Afya na Kampuni ya GPITG kwa kushirikiana na maafisa Tehama wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere siku ya leo 06/08/2024 wameendelea kutoa mafunzo ya Mfumo mpya wa utoaji huduma eHMS kwa wauguzi.