KLINIKI YA MAGONJWA YA NDANI
Posted on: October 29th, 2025KLINIKI YA MAGONJWA YA NDANI
|
|
MUDA KUANZIA 02:00 ASUBUHI HADI 09:30 ALASIRI (GENERAL CLINICS)
07:00 MCHANA HADI 10:00 JIONI (FAST TRACK) |
| S/N |
HUDUMA ZITOLEWAZO
|
| 1 | UPIMAJI KISUKARI |
| 2 | UPIMAJI PRESHA |
| 3 | SHINIKIZO LA DAMU |
| 4 | MAGONJWA YA MOYO |
| 5 | USHAURI NA MAGONJWA MENGINEYO |
SIKU ZA KLINIKI : Jumatatu & Ijumaa kwa wagonjwa Maalum (Fast Track)
Jumanne, Alhamisi & Ijumaa kliniki za kawaida (General clinics)



