KLINIKI YA MACHO
Posted on: October 14th, 2024KLINIKI YA MACHO
|
MUDA KUANZIA 02:00 ASUBUHI HADI 09:30 ALASIRI
|
S/N
|
HUDUMA ZITOLEWAZO
|
1
|
ELIMU YA AFYA YA MACHO
|
2
|
UPIMAJI WA MACHO NA MATIBABU KWA NJIA YA MIWANI
|
3
|
UPASUAJI WA MACHO KULINGANA NA TATIZO HUSIKA
|
4
|
USHAURI
|
SIKU ZA KLINIKI : Jumatatu, Jumanne, Alhamisi na Ijumaa